Mbavu za Mbwa
JF-Expert Member
- Jan 2, 2011
- 303
- 154
Mbavu za Mbwa, hakuna L.L.B wala L.L.M. Kilichopo ni LL.B na LL.M zinazosimamia digrii ya kwanzana ya pili ya sheriaWanajamii, nimekuwa nikijiuliza muda mrefu sasa na pia nimeuliza hata wa wasomi a sheria kirefu na asili ya abbreviation L.L.B(shahada ya kwanza ya sheria) lakini huwa sipati jibu. Ukiuliza wanafunzi na wanazuoni wa sheria woe wamekuwa wakipata kigugumizi.
Sasa nalibwaga swali hili jamvini, nini maana yake? Maa tunajua ukisema B.A ni Bachelor of Arts. BSc ni Bachelor of science
Si kweli kwamba umewauliza wanafunzi na wanazuoni wa Sheria. Lazima ungepata majibu haya hapa chini:
Shahada ya kwanza ya Sheria inaitwa kwa kilatin Legum Baccalaureus
Shahada ya pili ya sheria ni Legum Magister
Legum Baccalaureus and Legum Magister are abbreviated LLB and LLM respectively.
The abbreviations LLB and LLM are accepted and used worldwide, although they are "technically incorrect"