Nkuruvi
JF-Expert Member
- Dec 1, 2014
- 623
- 647
Wadau, nifahamisheni watu hawa waweza kuwaita kwa jina gani kwa uhusiano huu.
1. Mwanaume ambaye tumeoa familia moja. (Yaani ameoa mdogo wa mke wangu), mimi namuitaje?
2. Mdogo wa kike wa Mwanaume ambaye tumeoa familia moja.
3. Wanawake ambao wameolewa familia moja (Yaani wanawake wawili wameolewa na wanaume ndugu wa familia moja) wanaitanaje?