Nini kitakachowafanya CCM washinde 2025?

Hivi ndiyo CCM hutangazwa kuwa wameshinda. Ubatili mtupu.
 
CCM mara ya mwisho kushinda kihalali ilikuwa kipindi cha Kikwete wakati wa temu ya kwanza. Kuanzia hapo CCM huingia Ikulu kwa figisu.Kudhihirisha hilo, Magufuli aliona isiwe tabu akapora waziwazi uchaguzi wa 2019, wa serikali za mitaa, na ule wa 2020 wa raisi, wabunge na madiwani. Ni kama vile alikuwa anatuambia mtanifanya nini?!! πŸ€”
 
Toka lini CCM hii kuanzia wakati wa JK iliwahi kushinda?
Iko madarakani kwa wizi wa kura tuu ambao hauna tofauti na mapinduzi ya kijeshi ila hii kwa vile hazitumiki silaha tunaona ni kawaida.


Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Sahihi kabisa. Kizazi Cha kuichagua ccm kihalali kiliisha baada ya uchaguzi wa 2005. Baada ya hapo kikaja kizazi kipya kilicho nje ya ccm.
 
Kweli ccm wametupeleka watanzania kuzimu. Shida na taabu kama zote.
 
Hivi unajielewa au umeandika tu?
 
Kati ya mambo uliyoandika lenye logic ni kikotoo, mengine ni ujinga wako na wengine wasioelewa.

Yaani uachie Masai wawe wanaharibu Hifadhi kisa ukiwatoa Hifadhi ikarudi vizuri na ikaanza kuingiza pesa via uwekezaji iwe jambo baya? Landa wapumbavu ndio wataona ni jambo la msingi.

Hata DP World hakuna hoja ya maana Kwa sababu Duniani kote vyanzo vya pesa vinabinagsisha Ili kuleta ufanisi badala ya kuviacha Serikalini wachache wanajinufaisha na inefficiency kama zote.
 
Mema mengi na makubwa ya kimaendeleo anayoyafanya Rais Samia, yanaihakikishia CCM ushindi wa asilimia 100, mwaka 2025.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…