GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,189
- 10,375
Labda matatizo mengine mkuu lakini siyo ukame! Haukuwahi kukaukiwa maji. Wakati wa kiangazi ulikuwa ukimwagiliziwa kila siku.Tafuta bwana shamba watauangalia na kukushauri "bure". Kuna aina fulani ya wadudu ushambulia maua yakichomoza. Pili, upungufu wa madini fulani na ukame. Mwembe unaweza kuonekana green lakini ukawa na upungufu mkubwa wa maji kuotesha matunda.
Kinachosababisha hiyo hali ya mwembe kutokuzaa ni aina ya wadudu wanafanana na sisimizi ambao mwembe ukianza kutoa maua hao wadudu wanaenda kula maua hivyo kupelekea mwembe kushindwa kuzaa.Mwaka Jana, miwili iliweka matunda machache. Mti wa kwanza ulizaa embe 1 na wa pili maembe 2. Ilikuwa mitamu sana.
Nilitarajia mwaka huu miti yote 5 ingezaa, tena matunda mengi kuzidi ya mwaka Jana. Imekuwa kinyume chake.
Katika miembe yote 5 iliyopo, ni mmoja tu ndiyo uliozaa, tena matunda mawili tu.
Kwa nini haizai? Ni kawaida?
Uko mkoa gani? Kama ni Pwani msimu wa maembe uliopita haukufanya vizuri sana kutokana na hali ya hewa na pia mlipuko wa nzi wa maembe wanaoshambulia maua na embe kwa ujumla.Mwaka Jana, miwili iliweka matunda machache. Mti wa kwanza ulizaa embe 1 na wa pili maembe 2. Ilikuwa mitamu sana.
Nilitarajia mwaka huu miti yote 5 ingezaa, tena matunda mengi kuzidi ya mwaka Jana. Imekuwa kinyume chake.
Katika miembe yote 5 iliyopo, ni mmoja tu ndiyo uliozaa, tena matunda mawili tu.
Kwa nini haizai? Ni kawaida?
Mwembe kuzaa ni katika jitihada za kujihami na ukame/kiangazi/juaMwaka Jana, miwili iliweka matunda machache. Mti wa kwanza ulizaa embe 1 na wa pili maembe 2. Ilikuwa mitamu sana.
Nilitarajia mwaka huu miti yote 5 ingezaa, tena matunda mengi kuzidi ya mwaka Jana. Imekuwa kinyume chake.
Katika miembe yote 5 iliyopo, ni mmoja tu ndiyo uliozaa, tena matunda mawili tu.
Kwa nini haizai? Ni kawaida?
Nimelichukua la upuliziaji wa dawa.Palizi
Maji
Muda/wakati wake sahihi wa kuzaa
Pulizia dawa
Rutuba
Nashukuru sana mkuu. Nitafanya hivyo.Kinachosababisha hiyo hali ya mwembe kutokuzaa ni aina ya wadudu wanafanana na sisimizi ambao mwembe ukianza kutoa maua hao wadudu wanaenda kula maua hivyo kupelekea mwembe kushindwa kuzaa.
Jambo la kufanya ni kuhakikisha unapiga dawa katika miembe yako kila miembe ikikaribia kutoa maua au kumwagia mafuta ya taa au oil chafu kwenye shina la mwembe ili hao wadudu washindwe kupanda juu kula maua.
Kanda ya Ziwa mkuu.Uko mkoa gani? Kama ni Pwani msimu wa maembe uliopita haukufanya vizuri sana kutokana na hali ya hewa na pia mlipuko wa nzi wa maembe wanaoshambulia maua na embe kwa ujumla.
Shukran mkuu. Nilikuwa sijui hili.Mwembe kuzaa ni katika jitihada za kujihami na ukame/kiangazi/jua
kama mwembe unapata maji ya kutosha hauta zaa sana
hivo mkuu msimu wenye mvua nyingi usitarajie maembe mengi
ndo maana maembe ni mengi sehemu zenye ukame
Chukua misumali ya size ya kati (isiwe mikubwa sana kuzidi unene wa shina la mti). Ukikaribia msimu wa maembe, pigilia msumali kwenye Kila mtu, kisha wait n see.Mwaka Jana, miwili iliweka matunda machache. Mti wa kwanza ulizaa embe 1 na wa pili maembe 2. Ilikuwa mitamu sana.