OMOYOGWANE
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 4,701
- 11,920
Tatizo hatufundishi watoto kujifunza vitu! Tunawafundisha vitu! Tukifaulu hapa tutashinda.namna ya kufanya kazi
Umeelewa swali? Hicho ndicho nilichouliza?Weupe wanaongeza jitihada ili wengi waelimike vya kutosha huku tunaongeza jitihada watakaoelimika wawe kidogo na hatufundishani namna ya kufanya kazi
Tunashida kwa kweliTatizo hatufundishi watoto kujifunza vitu! Tunawafundisha vitu! Tukifaulu hapa tutashinda.
Mimi nmeuliza swali unataka nijenge hoja ya nini? Kama huna jibu mkuu subiri wengine waje wajibuHujasema kwanini wapandishe? Ilivyosasa ina madhara gani? Jenga hoja kwanza
Mkuu umeelewa swali?Tatizo hatufundishi watoto kujifunza vitu! Tunawafundisha vitu! Tukifaulu hapa tutashinda.
Unataka jibu la namna gani? Hii ndo shida ya elimu yetu, unataka wapandishe alama za ufaulu kwenda elimu ya juu ili iweje? Nimezungumzia kuongeza idadi ya watakaoelimika usichokielewa nini?Umeelewa swali? Hicho ndicho nilichouliza?
Kama hujui kaa kimya mkuu
Mkuu watu wanaleta ushabiki maandazi kusoma sio mchezo mchezoWapandish ili iwaje wakat saiv kwenyew vigezo ni vyajuu unafikil kupat D mbili kwa pcm au pcb ni rahisi kumbuk D ya advance ni 50
Hahahaaa elimu ya bongo iyo mtu akifanikiw ataki wenzak wafanikiwe yan unakut wazili alipit kwa ufaulu wa E mbili alaf anakuj yeye anawek D mbil akija ndugu yetu apo atawek B mbiliMkuu watu wanaleta ushabiki maandazi kusoma sio mchezo mchezo
Mbona mnajibu vitu ambavyo sijaulizaWapandish ili iwaje wakat saiv kwenyew vigezo ni vyajuu unafikil kupat D mbili kwa pcm au pcb ni rahisi kumbuk D ya advance ni 50
Wewe ndio nikushangae unailaumu elimu wakati hujaelewa hata kilichoulizwa, unajibu ambavyo sijakuulizaUnataka jibu la namna gani? Hii ndo shida ya elimu yetu, unataka wapandishe alama za ufaulu kwenda elimu ya juu ili iweje? Nimezungumzia kuongeza idadi ya watakaoelimika usichokielewa nini?
Ahsante mkuu kwa jibu lako zuri wengi wanajibu vitu ambavyo sijawauliza big up mkuu,Viwango vya ufaulu vikipandishwa na idadi ya vyuo itapungua, maana ni vyuo vichache sana utakuta vina dahili watu wenye ufaulu wa kuanzia BBB kwenye program nzima
Tatizo lako kuna majibu unayoyataka wewe, hatupo kwenye hisabati kwamba kila utakayemuuliza 2+2=4, tegemea maswali, na hoja kinzani kutoka kwenye swali lako na ukiweza kuelewa maelezo ya wote hapo tutakuita muerevuWewe ndio nikushangae unailaumu elimu wakati hujaelewa hata kilichoulizwa, unajibu ambavyo sijakuuliza
Mnaiita elimu ya bongo mbovu ni kweli ni mbovu maana umeshindwa kuelewa swali dogo kama hiliHahahaaa elimu ya bongo iyo mtu akifanikiw ataki wenzak wafanikiwe yan unakut wazili alipit kwa ufaulu wa E mbili alaf anakuj yeye anawek D mbil akija ndugu yetu apo atawek B mbili
povu la nini? hapa jukwaani hatupangiani cha kuandika. umeweka mada mezani kaa kwa kutulia.Umeelewa swali? Hicho ndicho nilichouliza?
Kama hujui kaa kimya mkuu