Nini kitatokea endapo Simba itakosa ubingwa msimu huu??

Uhalisia ni kuwa hawapati, maana hawana timu ya kuwapa ubingwa.
Matokeo yake watafukuza Kocha na baadhi ya wachezaji kama kawaida yao. Msimu ujao wanaanza na benchi jipya la ufundi na kikosi kipya. Pole zao in advance.
 
Mbona iko wazi kabisa kwa mipango yao hii ubingwa kwao ni mgumu mno na hapo ndio watatoana ngeu kabisa
 
itakuwa n0ma sana... ila timu ya ubingwa tunayo na still ligi ni mbio ndefu
hatujawazid wala hamjatuzid hvyo punguza hofu
 
Tutaenda UN head quarter au tutaliiba kombe

Tushuke daraja tu ili tukachukue kombe la daraja la pili
 
Na nini hatma ya Munchester united,Asenal,Liverpool wakikosa ubingwa?, Simba itaendelea kuwepo tu, bahati yako sijaijua jinsia yako,kuna kitu ningekuambia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…