van xoussam
Member
- Sep 22, 2015
- 29
- 13
Kile kikosi ni zaidi ya bilion 1 sema tu tumepùnguza sìfuri kuendana na kasitena mkizingatia mna kikosi cha BILIONI 1 aaah mtasikilizwa tu
Kws Simba niliyoina mpaka sasa kutwaa ubingwa ni sawa na kumkuta Irine Uwoya bado ana bikra.itakuwa n0ma sana... ila timu ya ubingwa tunayo na still ligi ni mbio ndefu
hatujawazid wala hamjatuzid hvyo punguza hofu
Hahahahaha ni nomaaKile kikosi ni zaidi ya bilion 1 sema tu tumepùnguza sìfuri kuendana na kasi
Wapenzi watamsambaratisha Manara msemaji wao Ambae kila kukicha anaficha ubovu wa timu yake na kulalamikia mambo yasio na maelekezo.Najaribu kuwaza kwa sauti wakuu, unadhan nini kitatokea msimbazi endapo ubingwa hautopatikana msimu huu??
Kws Simba niliyoina mpaka sasa kutwaa ubingwa ni sawa na kumkuta Irine Uwoya bado ana bikra.