ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Kati ya sisi na1 Kwa 1 kwenye swali watalaam international space station ikizimika ghafla baada ya damage yoyote yaani paa ika shut down nini kitatokea je ni kweli Mawasiliano ya internet na simu duniani yatakata au haina uhusiano wowote.
ISS imetukuta, sisi hatukuikuta kwahiyo tutaendelea kuwepo na mawasiliano tutayafanya kama tulivyoweza kabla ya ISS.1 Kwa 1 kwenye swali watalaam international space station ikizimika ghafla baada ya damage yoyote yaani paa ika shut down nini kitatokea je ni kweli Mawasiliano ya internet na simu duniani yatakata au haina uhusiano wowote.
OK.. Hv mkuu hizi satellite huwa sometimes wanazishusha chini kuzifanyia maintenance au ndo hazishuki KAMWEKati ya sisi na
ISS imetukuta, sisi hatukuikuta kwahiyo tutaendelea kuwepo na mawasiliano tutayafanya kama tulivyoweza kabla ya ISS.
Nyingi hutupwa angani na baadhi huyeyuka ziingiapo anga ya dunia.OK.. Hv mkuu hizi satellite huwa sometimes wanazishusha chini kuzifanyia maintenance au ndo hazishuki KAMWE
Hazishuki, mission yake ikiisha inashushwa lakin haifiki chini inaungua huko huko inapoingia anga la Dunia.OK.. Hv mkuu hizi satellite huwa sometimes wanazishusha chini kuzifanyia maintenance au ndo hazishuki KAMWE
Asante sana mkuu nadhani umemaliza kiu yangu Sina hoja nyingine Tena kumbe ile ni kama tu inachukua data za angani basiIss haihusiani chochote na mawasiliano ama internet ya duniani. Ile ni laboratory. Iko powered na solar energy hivyo haitarajiwi kuzimika kabisa.
Naam, pia kufanya experiment mbali mbali kwenye mazingira ambayo hakuna kitu kinaitwa uzito na exploration of unknown. Hawadili na chochote Cha dunianiAsante sana mkuu nadhani umemaliza kiu yangu Sina hoja nyingine Tena kumbe ile ni kama tu inachukua data za angani basi