Nini kitatokea katika uchumi wa Tanzania?

divide and rule

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Posts
266
Reaction score
106
Kwa wanauchumi waliobobea,tunashuhudia serikali mpya ya awamu ya tano ikijitahidi kubana matumizi na kuwabana wafanyabiashara kulipa kodi ili kuongeza mapato ya nchi,nini matokeo ya hatua hizi kiuchumi kwa baadae,
karibuni wachambuzi wa uchumi tujadili.
 
Gape la wenye nacho na wasionacho litapungua
 
Hofu yangu kwa muda mfupi ufuatao uchumi unaweza tikisika aidha ndani ya miaka 1 to 2 vitu kupanda bei, wajua mfuko ulishazoea uovu kukwepa kodi maana yake nini ? ili auze haraka/kwa wingi maana yake kumvutia mlaji/mwananchi sasa channel yake hadi kwa mwananchi wa kawaida hasa Import duty na VAT
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…