mariavictima
Senior Member
- Jul 8, 2010
- 179
- 39
Labda tukufahamishe kwamba sasa hivi kuna akina Slaa wasiopungua 10 watakaoingia Bungeni!Hamjambo wote? Naomba ufafanuzi kutoka kwenu wana JF. Je Slaa anaweza kurudi tena bungeni, angalao kwa Viti maalum?? Bila Slaa Bunge litachangamka kweli? Ninaumia sana kila nikifikiria hatma ya mpambanaji wetu!!!