kimsboy
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 9,846
- 20,319
Ndugu zangu, Nini kitatokea tukikataa misaada kutoka nje na tukajipinda wenyewe?
Tuamue kukataa misaada tujipinde wenyewe kama nchi kutafuta vyanzo vya mapato bila kumuumiza mwananchi.
Sasa hivi wametangaza matozo lakini wanazidi kukopa nje na kurequest misaada kitu ambacho ni ujinga wa hali ya juu.
Tuna madini ya kila aina tuna rasilimali za kutosha za kuwakazia mabeberu watupe share.
Haiwezekani wanachimbachimba tu kwa mirahaba ya kijinga na kodi ndogo hii nchi inahitaji kusimama kidete.
Tunatakiwa tuanze kuikataa misaada,misaada na mikopo ndo inailemaza Afrika.
Tukikataa misaada na mikopo yao tukiteseka one year tutaweza kujipinda angalieni Iran walivyojipinda hadi leo wanakula nchi ya asali na maziwa.
Hata mtoto akizoea dezo kwa kupewa mkate jibini asali na chocolate kila siku mara 5 na mpaka miaka 20 na kuendelea bado anadekezwa hawezi kuwa na akili ya kutafuta mwenyewe kamwe.
Africa ina umri mkubwa lakini inatia aibu
Adui wa maendeleo ya Africa ni misaada na mikopo na tunashindwa kuwa wabunifu kwasababu tushazoea kila kitu kinatoka kwao