SILENT ACtOR
JF-Expert Member
- Apr 9, 2011
- 627
- 181
Naona watu wakikazana kumeza mate ya wenzao. Hivi yana ladha gani? Ni kama pipi, soda, au nini? Kama tamu mbona ukitemewa bahati mbaya hukasilika? Nijulisheni mwenzenu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona watu wakikazana kumeza mate ya wenzao. Hivi yana ladha gani? Ni kama pipi, soda, au nini? Kama tamu mbona ukitemewa bahati mbaya hukasilika? Nijulisheni mwenzenu.
hapo kwenye red
kama uko over 18 ladha unaifahamu
kama uko under 18 tuambie tukufafafanulie..
Afadhali umedadafua.... Personally nilishindwa kabisa response for nilishindwa kumkundi...
maswali mengine
hayana kichwa wala miguu..
hii ni under 18 inafanya kazi ..
hata kizazi cha dot.com hawaulizi hivi..
umenena vyema Asha,m2 ka uyo ni kumpotezea tuHapa I believe ni kutaka tu kuwachokoza watu hoping there will be dirty words for him to make him sleep saizi.....