Kwani zimepotea mkuu?Jamani jamni tutafute pesa nyie daaah tutafute pesa aiseeee
Elimu ni pana sana ila wewe umeamua kuiweka kwenye andiko moja kwa hoja zilizo base upande mmoja... nashindwa kuelewa hoja yako umeijenga kwa kuzingatia field ipi hasa ila kiuhalisia kuna field ambazo hazina njia mbadala zaidi ya kupiga kitabu tu, field kama madaktari, field kama walimu, field kama marubani, field kama mafundi wote (engineers), field kama madereva na kadhalika...Habarini wakuu, natumaini mu wazima.
Moja Kwa Moja kwenye mada,
Kadri siku zikienda najikuta hili swali liendelea kuwa na uhalisia,kwamba nini Lengo la formal education Kwa nyakati hizi ikiwa haitatui matatizo iliyopaswa kuyatatua .
Kama Elimu ilipaswa kuanda watu wenye udhubutu na maarifa ya kuleta mabadiliko chanya kwenye jamii mbona wasioenda shule ndio wanaplay party kubwa kwenye hilo.
Kama Elimu ilipaswa kuanda watu wenye nidhamu ya kazi mbn wasioenda shule ndio wapo vizuri kwenye ilo kushow up early and everyday kwenye kazi wasioenda shule ndio wapo vizuri kwenye hili
Kama Elimu iliwekwa kuwaanda watu kuwa waajiriwa kujipatia kipato kuendesha maisha Yao ya kila siku mbona hii imepitwa na Wakati kitambo sana ,,since namna wazee wetu walikuwa wanajipatia kipato miaka ya 90's kurudi sio sawa na miaka hii watu wanajiingia kipato Kwa njian ambazo hazijawahi tarajiw
HazipoKwani zimepotea mkuu?
Uzi ufungwe.Ninachojua elimu inaondoa ujinga ushamba na kukuza ubongo Kwa mambo mengi
Sio kwamba tunapeleka watoto shule Ili iwasaidie kiuchumi ila elimu inamfanya mtu awe civilize Kuna tofaut Kwa mtu aliyeenda shule na ambaye hajaenda Hilo lipo waz hata kama huyo aliyeelimika ni jambaz mwizi ila Kuna utofaut na ambaye hajasoma
Coca hujanijibu kule ili tuanze tuition.ELIMU ina raha yake bhana, maarifa, upeo, ujuzi, upembuzi, ufumbuzi wa mambo kwa kina, yaan huteterekii.
Nakumbuka niliwahi bishana na mtu kuhusu mada fulanii, nilikua nampa hoja kwa facts mahsusi.
Baadae aliishia kusema, "shukuru Nawe ulingiia darasani vinginevyo aaah kwishaaa"
😂😂😂😂😂
Nimekujibu The Ice, si nasubiri unipe locs, ni join hapo.Coca hujanijibu kule ili tuanze tuition.
Mkuu mi nazungzia hii formal education ambayo unamtaka mtu akae darasani almost 15 years ndio apewe bachelorElimu ni pana sana ila wewe umeamua kuiweka kwenye andiko moja kwa hoja zilizo base upande mmoja... nashindwa kuelewa hoja yako umeijenga kwa kuzingatia field ipi hasa ila kiuhalisia kuna field ambazo hazina njia mbadala zaidi ya kupiga kitabu tu, field kama madaktari, field kama walimu, field kama marubani, field kama mafundi wote (engineers), field kama madereva na kadhalika...
Kwahiyo lengo la elimu halihitaji kutafutwa kwa tochi bali liko wazi kabisa😊
Katika aya hii nafikiri ni kwa sababu wasioenda shule wana show-offs nyingi, pia wana ile shauku kali ya kutaka kudhihirisha kutosoma kwao sio kikwazo. kwaio ni rahisi kuwaona, lakini wapo waliopiga shule na wanafanya mambo makubwa. Ni rahisi kumwona chief godlove kuliko kumwona Benjamin Fernandez.Kama Elimu ilipaswa kuanda watu wenye udhubutu na maarifa ya kuleta mabadiliko chanya kwenye jamii mbona wasioenda shule ndio wanaplay party kubwa kwenye hilo.
Uzi si ufungwe ... Gademiit...Unaweza usiende shule ila ukapata elimu ya biashara ,kilimo au ufugaji ndani ya mazingira yanayokuzunguka ,hakuna asiye na elimu ambae kafanikiwa.
Sawa mkuu kila siku ni kujifunzaC saba za mawasiliano.. pita huku mtoa mada
Clarity (Ufafanuzi / Wazi) – Ujumbe uwe wazi na usiyo na utata. Ujumbe usio wazi unaweza kuleta mkanganyiko.
Mfano: Badala ya kusema “Tunahitaji kuongeza mauzo,” sema “Tunataka kuongeza mauzo ya Bidhaa X kwa 10% mwezi huu.”
Conciseness (Ufupi / Kuweka kwa ufupi) – Ujumbe uwe mfupi na wa moja kwa moja, bila maneno yasiyo ya lazima.
Mfano: “Tuma ripoti ifikapo Ijumaa” badala ya maelezo marefu yasiyo na maana.
Concreteness (Uthabiti / Uhakika) – Tumia mifano halisi, takwimu na maelezo sahihi. Hii huongeza uaminifu wa ujumbe.
Mfano: “Tumeuza vitengo 1,500 mwezi Agosti” badala ya “Tumeuza mengi.”
Correctness (Usahihi / Sahihi) – Tumia msamiati sahihi, sarufi, na taarifa zilizopo sahihi. Makosa huondoa uaminifu.
Mfano: Hakikisha tarehe, majina, na takwimu zote ni sahihi.
Consideration (Kujali / Kuzingatia) – Fikiria hisia, mahitaji, na mtazamo wa mpokeaji. Onyesha heshima na huruma.
Mfano: “Ninaelewa una ratiba ngumu; nimefupisha ripoti ukurasa mmoja tu.”
Completeness (Ukamilifu / Kukamilisha) – Ujumbe uwe kamili na usiache sehemu muhimu. Hii husaidia mpokeaji kuelewa na kuchukua hatua.
Mfano: Badala ya “Tukutane saa 3,” sema “Tukutane saa 3 kwenye chumba cha mkutano kujadili bajeti ya robo ya tatu.”
Courtesy (Heshima / Hali ya heshima) – Uwe na adabu, heshima, na mtazamo chanya. Hii huimarisha uhusiano.
Mfano: “Tafadhali hakiki nyaraka hizi kadri uwe na nafasi” badala ya kusema kwa ukali “Haki nyaraka hizi sasa.”