Nini lengo la serikali kwa vijana wa kitanzania?

Nini lengo la serikali kwa vijana wa kitanzania?

kolelela

Senior Member
Joined
Sep 2, 2013
Posts
173
Reaction score
33
Nashindwa kujua serikali ina malengo gani kwetu vijana wa Tanzania. Je ni kutupa ugumu wa maisha na kutaka tuendele kuichukia CCM? Au wanataka kuongeza idadi ya makahaba au tuuze unga?

Vijana wafanye nini? Tuoneeni huruma, elimu ndio msingi wa maendeleo. Wanataka tusisome lakini sijui lengo nini.

Tusikate tamaa, Mungu yupo pamoja nasi.
 
Back
Top Bottom