Uchaguzi 2020 Nini maana CCM kuwashirikisha Wasanii katika Kampeni? Je, ni uzalendo?

Mkuu Akina sugu na profesa j ni wanasiasa pia/wabunge, Zuchu anagombea jimbo gani?
KWANI HANA SIFA ZA KUWA MWANACHAMA WA CHAMA CHOCHOTE HUYO ZUCHUU?? AU KUNASHERIA INAYOKATAZA ZUCHU KUWA MWANACHAMA WA CHAMA CHOCHOTE?? TOENI NONGWA ZENU TUU HAPAAA.
 
Mkuu tuachane na hayo kwani kuna wasanii wanaojitolea katika kampeni hizi??
TOKA LINI AKINA SUGU NA PROFESA J WAKAJIUNGA CHADEMA KWA MALENGO YA KUJITOLEA?? MBONA LEO KUPITIA UMALUFU WAO WA MZIKI NDIO ILIKUA KIKI YA KUWAPAISHA KISIASA NA HADI LEO NI WA BUNGE?? HATA HAO WASANII WA CCM, WANAHAKI ZOTE ZA KUSHIRIKI KAMPENI KWA VYAMA WANAVYOVITAKA, MAANA HUJUI KESHO YAO ITAKUAJEE. ACHENI NONGWAA KILA MTU APAMBANE NA HALI YAKE, KIKUBWA MKONO UENDE KINYWANIII.
 
Mkuu wasanii hawakatazwi kushiriki kampeni je hao wasanii wana enzi vip tamaduni za kitanzania katika kazi zao
Kuna wanasanaa wengi tu na kazi zao zina tija katika kuendeleza na kukumbushana mila na desturi zetu ...na kama unabisha waulizeni hao wasanii kama hawalipwi kutupumbuza watanzania katika kampeni za chama
Halafu je baada ya kampeni hao hao watu wanavujisha mapicha ya utupu na kufumaniwa kila kukicha
Ifike mahali kazi za sanaa zeheshimiwe watu wanasomea hizi fani siku hizi
 
SUGU ANAMZIDI NANI KIMAADILI??
Je katika wajumbe wakamati kuu ya ccm kuna wasanii wangapi?? Wataje
Mbona wasanii ndio wamekua taswira ya chama cha mapinduzi kuliko wajumbe na wenyeviti wa chama kuanzia ngazi ya chini
Mkuu CCM wanatuona watanzania ni wajinga sana ujue
 
Mtu anae andika kwa herufi kubwa obvious hua ana shida upande wa network. Pity on you
 
Je katika wajumbe wakamati kuu ya ccm kuna wasanii wangapi?? Wataje
Mbona wasanii ndio wamekua taswira ya chama cha mapinduzi kuliko wajumbe na wenyeviti wa chama kuanzia ngazi ya chini
Mkuu CCM wanatuona watanzania ni wajinga sana ujue
SUGU NA PROFESA J, KWANI NAO WALIKUWA WAJUMBE WA KAMATI KUU YA CHADEMA MPAKA WAKAPEWA RIDHAA YA KUGOMBEA??
 
Bila wasanii hawa kuwavuta watu ...ingekuwa ni aibu kwa mgombea wetu - watu hawaji kwenye mikutano yake......haya mambo mengine si ya kujadili hebu tuyaacheni tushughulike na uchaguzi!!

hali ni mbaya kwa upande wetu... hata hizo kura namna ya kuziiba itakuwa ni nguvu kama majority ya watu wapo against, sijui kwa nini hasa.
 
SUGU NA PROFESA J, KWANI NAO WALIKUWA WAJUMBE WA KAMATI KUU YA CHADEMA MPAKA WAKAPEWA RIDHAA YA KUGOMBEA??
Tofautisha sifa za kugombea ubunge na wasanii kutumika kutangaza chama kuna kundi la wasanii zaidi 100 wapo nyuma ya ccm
Tunajua kazi za sanaa wanazofanywa huwa wanalipwa je katika hili hela za kuwalipa hili kundi zina toka wapi??
Tambua NECimetoa pesa zao kwa ajili ya wagombea katika nafasi zao kwa kiLa chama sio makundi ya wasanii
 
KWANI WAGOMBEA HAO SIO WASANIII?? NA NI UMARUFU HUOHUO WA KIUSANII NDO UMEWAFIKISHA HAPO?? ACHENI NONGWAAA.
 
KWANI WAGOMBEA HAO SIO WASANIII?? NA NI UMARUFU HUOHUO WA KIUSANII NDO UMEWAFIKISHA HAPO?? ACHENI NONGWAAA.
[/QUO
Kumbuka kuna wasanii hawajawahi kutumika kisiasa na wanasiasa katika majukwaa
 
Kutafuta kuungwa mkono kupitia umaarufu wa wasanii, lakin trust me in case ccm wakapita baadhi ya wasanii wataisoma namba
 
Si ndio hawa wanaotekwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…