Dhana ya kisheria ya kujiuzulu ni kukaa pembeni – huwezi kujiuzulu nafasi fulani halafu unarudi kuigombea nafasi hiyo hiyo – hii ni aina mpya ya ufisadi na ubadhirifu mkubwa wa fedha za umma ambao umevishwa koti la sheria na demokrasia.
sasa ndo naanza kumuelewa Trump
#shit_hole