nasrimgambo
JF-Expert Member
- Jan 10, 2017
- 1,902
- 2,488
bro , hujui kiswahili cha dar?, nataka mtu anayekijua atuelimishe juu ya maneno hayo na atuongezee na mengineuna assignment au? wanafunzi bana yan mnatujazia server
Mengine bado inatumika mkuuHiyo ni misimu ya mtaani, zaidi imeshapitwa na wakati.........
hiyo misimu ipo pengine hata miaka kumi imepita tangu nimeanza kuisikia, bado tu ni msimu! na haijaqualify kuwa maneno rasmi, how comes!Endapo toleo jipya la kamusi ya kiswahili itaandaliwa, maneno hayo yanaweza ingizwa au la kulingana na kupokewa na kudumu kwake ktk jamii.
Hiyo ni misimu
Hapo upo mwana?
Samahani mkuu.hiyo misimu ipo pengine hata miaka kumi imepita tangu nimeanza kuisikia, bado tu ni msimu! na haijaqualify kuwa maneno rasmi, how comes!
hili linastahili kuwekwa kwenye kamusi aiseePapuchi....