Nini maana halisi ya Mapenzi?

Alafu sijui kwa nini mahusiano yenye kelele kila siku huwa hayavunjiki kama inavyotegemewa na wengi,
Yaani utakuta mala mke kachapwa ngumi ya mbavu ,mala wanapelekana s/mitaa ila ajabu hawaachani,,nimeshuhudia ndoa nyingi za namna hiyo ,,
Hizo za akina billgate ni kuchoshana tu kuzijadili ndoa za aina hiyo,
 
Tom & Jerry
 
Kwl asee huwa ngumu kuvunjika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…