Nini maana halisi ya Profession?

Kachoki

Member
Joined
Feb 2, 2010
Posts
29
Reaction score
4
Habari zenu wadau,
nina utata juu ya maana halisi ya Profession na je nini vigezo vya profession? Lakin je kama huko duniani professional zina bodi lakiini kwa hapa bongo hazina je zitakuwa profession?
 
profession ni ujuzi katika kazi fulani. vigezo vyake uwe umehitimu katika mafunzo ya ujuzi huo ipasavyo, swali la 3 cjalielewa plz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…