swagazetu
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 4,250
- 1,470
Wana bodi naomba kufahamu kuhusu neno hilo ambalo limekuwa likitumika hasa katika maandiko yanayohusu siasa, neno MEKO limekuwa maarufu hadi Twitter na platform nyingi za kisiada, Mara nyingi nimekuwa nikigonga mwamba kujua Hutu ni MTU au ni eneo nchini Tanzania linaitwa MEKO.
Na nini asili ya hili neno na lina uhusiano gani na MTU anaekusudiwa au eneo linalokusudiwa?
Na nini asili ya hili neno na lina uhusiano gani na MTU anaekusudiwa au eneo linalokusudiwa?