Ni yupi sasa hapo?Ukichangamsha macho, utamuona hapo...[emoji23][emoji23]View attachment 1655074
Neno meko kwa sasa linatumika kumuita mtawala fulani kwenye nchi fulaniWana bodi naomba kufahamu kuhusu neno hilo ambalo limekuwa likitumika hasa katika maandiko yanayohusu siasa,neno MEKO limekuwa maarufu hadi Twitter na platform nyingi za kisiada,Mara nyingi nimekuwa nikigonga mwamba kujua Hutu ni MTU au ni eneo nchini Tanzania linaitwa MEKO.
Na nini asili ya hili neno na lina uhusiano gani na MTU anaekusudiwa au eneo linalokusudiwa?
Sasa maana ya hilo neno Meko ni nini na nini chimbuko/asili ya neno hilo?Neno meko kwa sasa linatumika kumuita mtawala fulani kwenye nchi fulani
Maana mtawala ni kauzu ndio maana hua anaitwa meko kwa kuficha jina lake halisi
Kwa sisi wataalamu wa Kiswahili tunajua Meko ni jiko,Wana bodi naomba kufahamu kuhusu neno hilo ambalo limekuwa likitumika hasa katika maandiko yanayohusu siasa,neno MEKO limekuwa maarufu hadi Twitter na platform nyingi za kisiada,Mara nyingi nimekuwa nikigonga mwamba kujua Hutu ni MTU au ni eneo nchini Tanzania linaitwa MEKO.
Na nini asili ya hili neno na lina uhusiano gani na MTU anaekusudiwa au eneo linalokusudiwa?
Wachagga huwa tunasema Meku sio mekoNgoja kigogo aje afafanue........
Then wachaga huwa wanalitumia tumia hilo neno wanaweza kutupa mwongozo
Ni kauzu au ana roho mbaya na katili kama lishetwaniNeno meko kwa sasa linatumika kumuita mtawala fulani kwenye nchi fulani
Maana mtawala ni kauzu ndio maana hua anaitwa meko kwa kuficha jina lake halisi
MECCO ni brand name ya yale Makufuli ya mlangoni ( Kitasa )Wana bodi naomba kufahamu kuhusu neno hilo ambalo limekuwa likitumika hasa katika maandiko yanayohusu siasa,neno MEKO limekuwa maarufu hadi Twitter na platform nyingi za kisiada,Mara nyingi nimekuwa nikigonga mwamba kujua Hutu ni MTU au ni eneo nchini Tanzania linaitwa MEKO.
Na nini asili ya hili neno na lina uhusiano gani na MTU anaekusudiwa au eneo linalokusudiwa?
Asante kwa utafanikiwa mkuuWachagga huwa tunasema Meku sio meko
Na pia ilikuwa ni Mwananchi Engineering and Construction Company enzi hizo, likijihusisha na ujenzi, uhandisi, na vipuri/vifaa vya ujenzi. Sasa sijui kama pia hilo jina linahusishwa na mapenzi ya kupenda kujenga jenga.MECCO ni brand name ya yale Makufuli ya mlangoni ( Kitasa )
Kwahiyi watu wanalitumia kama mbadala wa neno Magufuli
afathali leo nimejua mana ya mecco shukran mkuuNa pia ilikuwa ni Mwananchi Engineering and Construction Company enzi hizo, likijihusisha na ujenzi, uhandisi, na vipuri/vifaa vya ujenzi. Sasa sijui kama pia hilo jina linahusishwa na mapenzi ya kupenda kujenga jenga.
Wana bodi naomba kufahamu kuhusu neno hilo ambalo limekuwa likitumika hasa katika maandiko yanayohusu siasa, neno MEKO limekuwa maarufu hadi Twitter na platform nyingi za kisiada, Mara nyingi nimekuwa nikigonga mwamba kujua Hutu ni MTU au ni eneo nchini Tanzania linaitwa MEKO.
Na nini asili ya hili neno na lina uhusiano gani na MTU anaekusudiwa au eneo linalokusudiwa?
Jamii forum buana!
Ndiyo. meko ni wingi (plural )ya jiko, kwa Kiswahili sanifu.Kwa sisi wataalamu wa Kiswahili tunajua Meko ni jiko,