Sley Abdallah
New Member
- Apr 16, 2021
- 3
- 17
Ukijua maana neno CHUMA utajua maana ya neno MEKO!!😄Wana bodi naomba kufahamu kuhusu neno hilo ambalo limekuwa likitumika hasa katika maandiko yanayohusu siasa, neno MEKO limekuwa maarufu hadi Twitter na platform nyingi za kisiada, Mara nyingi nimekuwa nikigonga mwamba kujua Hutu ni MTU au ni eneo nchini Tanzania linaitwa MEKO.
Na nini asili ya hili neno na lina uhusiano gani na MTU anaekusudiwa au eneo linalokusudiwa?
Wachaga hutumia Meku siyo Meko.Ngoja kigogo aje afafanue.
Then wachaga huwa wanalitumia tumia hilo neno wanaweza kutupa mwongozo
Umenikumbusha mbali sana, ila huyu mchoraji hakuwa yule mwenyewe muanzilishi wa Sani, Marehemu Philip Nelly Ndunguru.Ukichangamsha macho, utamuona hapo...[emoji23][emoji23]View attachment 1655074
Ukichangamsha macho, utamuona hapo...[emoji23][emoji23]View attachment 1655074