Nini maana sahihi ya msemo "Njia ya uani haioti nyasi"

donga

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2017
Posts
2,555
Reaction score
5,202
Wanajf njia iiozungumziwa hapa ni njia tuijuayo ya ardhini au njia ya kipemba?
 
Uani ni chooni
sasa kama kwenda chooni ni lazima hizo nyasi zitaota saa ngapi
 
Uani ni chooni
sasa kama kwenda chooni ni lazima hizo nyasi zitaota saa ngapi
ndio njia ipi kwa sababu hata njia ya kipemba nayo inanyasi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…