Msafiri Kasian
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 2,133
- 661
.Bado nawalilia waalimu na wataalamu wa lugha ya kiswahili! Msaada tafadhali.
.Msafiri ondoa shaka,
hiko ni kitendawili kinachopatikana ndani ya riwaya moja hv,(bht mbaya nimeisahau jina)
inasema hv:
Miguu minne yuko juu ya miguu minne,anamsubiri miguu minne aje kumla.
Na jibu la kitendawili hiko ni
Paka yuko juu ya meza,anamsubiria panya aje kumla.
Sawa mkuu?