syndicate
JF-Expert Member
- May 5, 2016
- 238
- 391
Wakuu wa jukwaa, wakubwa kwa wadogo habarini, nimekaa nmetafakari sana nmeshindwa kupata jibu na kung´amua kiundani. Tafadhari ninaomba mnisaidie kwa faida yangu, kizazi hiki na kijacho.
Nini maana ya shilingi au shilling(s) kwa lugha ya kiingeleza? (mfano The older countries ndani ya afrika ya mashariki yaani Tanzania, Kenya na Uganda mfumo wao wa pesa toka nimeanza kuwa na ufahamu wa kuijua pesa, wanatumia shilingi, Lakin ukienda mataifa mengine kama Afrika ya kusini,S.A, wanatumia Rand, Nigeria-Naira Malawi na Zambia Kwacha, Zimbabwe, Canada, USA etc-dollar, China na Rasi ya Asia Yuen.....n.k
Kwa yeyote mwenye ufahamu wa Asili ya maneno hayo, Jinsi yanavyo rasimishwa, Upangaji wa thamani na utofauti wa Thamani kulingana na wakati, eneo na uchumi, na mambo mengine nyeti ya kifedhi naomba atufafanulie ili tuelewe pia tuongeze ufahamu maana binafsi ninaamini wengi sio Tanzania au Afrika mashariki tuh bali Afrika na Duniani tunatumia vingi hasa pesa bila kutambua maana halisi na asili ya tunachokitumia....!!
NAWASILISHA!