Nini maana ya beji ya Bendera ya Taifa

Nini maana ya beji ya Bendera ya Taifa

Freeland

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2012
Posts
14,481
Reaction score
10,227
Wadau;

Nimeshuhudia baadhi ya watu wakivaa mavazi na kuweka badge ya bendera ya Taifa la Tanzania

Mfano vazi la suti alafu kunakuwa na ki badge cha bendera

Nini maana ya hii badge?

Je ni kila mtu anaweza kuivaa hio badge? kama sio ,je ni nani wanaruhusiwa kuvaa badge hiyo?
 
Back
Top Bottom