Wakuu.
Nilikua nauliza mini maana ya breadcrumbs issues detected kwasababu Mimi nilikua na blog yangu na baadae nili submit kwenye sitemap ilichukua wiki tatu tu wakanitumia icho kitu na sasa ninavyo waambieni blog yangu aipatikani kwenye search engine anaejua anisaidie jamani