Nini maana ya CCM kuwa chama dola?

Nini maana ya CCM kuwa chama dola?

kichangaa

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2013
Posts
689
Reaction score
131
Wanajf naomba mnijuze, CCM kuwa chama dola maana yake ni nini? nataka kujua CCM ni sehemu ya dola au dola ni sehemu ya ccm.nini hasara na faida ya mfumo huu kwa taifa letu?
 
inamanisha ni hali chama chenye kumiliki dola yote!
Ni uwezo wa chama kuwa na makada ktk kona zote za serikali na vyombo vya dola!
 
Back
Top Bottom