K kichangaa JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 689 Reaction score 131 May 24, 2013 #1 Wanajf naomba mnijuze, CCM kuwa chama dola maana yake ni nini? nataka kujua CCM ni sehemu ya dola au dola ni sehemu ya ccm.nini hasara na faida ya mfumo huu kwa taifa letu?
Wanajf naomba mnijuze, CCM kuwa chama dola maana yake ni nini? nataka kujua CCM ni sehemu ya dola au dola ni sehemu ya ccm.nini hasara na faida ya mfumo huu kwa taifa letu?
ChamaDola JF-Expert Member Joined Dec 23, 2016 Posts 3,431 Reaction score 2,804 Mar 18, 2017 #2 inamanisha ni hali chama chenye kumiliki dola yote! Ni uwezo wa chama kuwa na makada ktk kona zote za serikali na vyombo vya dola!
inamanisha ni hali chama chenye kumiliki dola yote! Ni uwezo wa chama kuwa na makada ktk kona zote za serikali na vyombo vya dola!
Mavipunda JF-Expert Member Joined Jun 27, 2012 Posts 7,072 Reaction score 7,891 Mar 18, 2017 #3 Unatoa mada unachangia mwenyewe!!!!
ChamaDola JF-Expert Member Joined Dec 23, 2016 Posts 3,431 Reaction score 2,804 Mar 18, 2017 #4 Angalia tarehe ya uzi
ChamaDola JF-Expert Member Joined Dec 23, 2016 Posts 3,431 Reaction score 2,804 Mar 18, 2017 #5 Mavipunda ebu angalia tarehe ya uzi!acha povu!
Mavipunda JF-Expert Member Joined Jun 27, 2012 Posts 7,072 Reaction score 7,891 Mar 18, 2017 #6 Hahaaa sikuangalia Komredi..yaani hajajibiwa tokea 2013!!!!
ChamaDola JF-Expert Member Joined Dec 23, 2016 Posts 3,431 Reaction score 2,804 Mar 18, 2017 #7 Mavipunda ahahaha,yeah najaribu kumjibia ili swali!