Nini maana ya Civic United Front (CUF) kwa kiswahili?

Nini maana ya Civic United Front (CUF) kwa kiswahili?

Verified

Senior Member
Joined
Apr 11, 2013
Posts
117
Reaction score
377
Bila shaka kuna wanachama wa CUF humu ndani.
Naomba ufafanuzi wa neno Civic United Front a.k.a CUF kwa kiswahili.
Nawasilisha.
 
chama cha wananchi kilicho mstari wa mbele
 
Bila shaka kuna wanachama wa CUF humu ndani.
Naomba ufafanuzi wa neno Civic United Front a.k.a CUF kwa kiswahili.
Nawasilisha.

Swali zuri sana na mimi pia naongezea Kirefu na maana ya NCCR!
 
Naomba maana ya chama cha DEMOKRASIA na Maendeleo!
 
naomba nichangie kama ifuatavyo, tukitaka kupata tafsiri ya neno hili tunaweza kuangalia katika tafsiri za aina nne
1. tafsiri ya neno kwa neno, civic united front ( uraia umoja mbele)
2. tafsiri sisisi, civic united front ( uraia ulioungana mbele)
3, tafsiri ya kisemantiki au maana ( umoja wa uraia mbele )
4, tafsiri ya mawasiliano ni uwakilishi wa umoja wa kiraia. tafsiri ya aina hii (ya kimawasiliano) ndio mara nyingi hutumika katika kutoa tafsiri kutoka katika lugha chanzi au matini chanzi na kwenda katika lugha lengwa au matini lengwa.
 
Itafsiri hivyo hivyo ilivyo CIVIC UNITED FRONT

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom