Mr Fresh
Member
- May 30, 2021
- 23
- 75
Ulishawahi kuwaza ni njia gani rahisi ya kuungana na watu tofauti duniani kama kikundi bila kufahamiana na kupanga malengo au sheria zenu pamoja huku sheria hizo zikisimamiwa na blockchain
Basi hicho ndicho kinachofanywa na DAO's katika ulimwengu wa Crypto
DAO(Decentralized Autonomous Organization) - shirika au jumuiya inayoongozwa na sheria zilizoandikwa kwa uwazi kwenye blockchain
Hakuna uhitaji wa wasimamizi kama mameneja wala bodi ya wakurugenzi kama mashirika ya kawaida yanavyofanya kwa sasa
DAO's zinajiendesha kwa uwazi na taarifa zote za kifedha zinarekodiwa pia kwa uwazi kupitia blockchain
Ili DAO ikamilike inahitaji seti ya sheria ambazo zitafanya kazi pamoja na Token ambayo itatumika kuwalipa wanachama wake kwa shughuli mbalimbali
Pia Token hizi hutumika kwa ajili ya kupigia kura ili kubadili sheria za uendeshaji ama makubalino yoyote yanayohitajika ndani ya shirika
Kwa sasa DAO's zinatumika katika nyanja nyingi ikiwemo uwekezaji,ukopaji,ukuzaji wa mitaji ama manunuzi ya NFTs
Ili kujiunga na DAO fulani unapaswa kununua token yao na kuihoild.
Mifano ya Token za DAO's ni kama Curve Dao Token,Dego Finance,Mantra Dao,Uniswap,Aave,Dash,Compound,Maker n.k
Full List ya Dao tokens unaweza kuipata kupitia link hii:
coinmarketcap.com

Top DAO Tokens by Market Capitalization | CoinMarketCap
Get today's prices for DAO crypto projects and tokens listed by market capitalization ✔️ 24h price change ✔️ 24h volume ✔️ And much more.