Nini maana ya Dawa ya Moto ni Moto

Zero IQ

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2016
Posts
13,959
Reaction score
24,935
Tueleze huu msemo ni kwenye tukio gani unalolikumbuka ulishawahi kuufanyia kazi?

"DAWA YA MOTO NI MOTO"
 
Si mimi ila kuna dogo alikamatwa kwa kusingiziwa kaiba simu walipoenda kumtoa kwa dhamana akaiba radio call pale kituoni
 
Ukitenda mabaya utalipwa kwa mabaya"ukiua kwa upanga utakufa kwa upanga
 
Dawa ya moto ni moto maana yake ukitenda dhambi ni motoni[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
 
Ya moto....yamoto band...

Ni mwendo wa kupelekeana moto tuu hadi moto uzime. Yaani ukitaka kuzima moto unawasha moto....

Kasie Matata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…