Nini maana ya Dotto na Kulwa?

Nini maana ya Dotto na Kulwa?

Ricky Blair

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2023
Posts
463
Reaction score
1,009
Hivi maana halisi ya Dotto na Kulwa ni nini? Au chimbuko lake ni nini? Kwa sababu mimi niliambiwa ni mapacha ambao hawafanani ndio wanaitwa Dotto na Kulwa; au watu wanaofanana je ni kweli?
 
Back
Top Bottom