Ricky Blair JF-Expert Member Joined Mar 13, 2023 Posts 463 Reaction score 1,009 Sep 17, 2024 #1 Hivi maana halisi ya Dotto na Kulwa ni nini? Au chimbuko lake ni nini? Kwa sababu mimi niliambiwa ni mapacha ambao hawafanani ndio wanaitwa Dotto na Kulwa; au watu wanaofanana je ni kweli?
Hivi maana halisi ya Dotto na Kulwa ni nini? Au chimbuko lake ni nini? Kwa sababu mimi niliambiwa ni mapacha ambao hawafanani ndio wanaitwa Dotto na Kulwa; au watu wanaofanana je ni kweli?