mwendeshaji kesi wa jamhuriIli kuweza kulifahamu jambo tajwa hapo juu, itabidi kwanza tumfahamu huyo DPP mwenyewe na manyota nyota yake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mahakama ya mwanzo na mahakama ya wilaya huwa waendesha mashtaka wanatokea polisi lkn mahakama za juu ya hizo huwa wanatokea kwenye ofisi ya DPP na lazima uwe mwanasheria/wakili.mwendeshaji kesi wa jamhuri
ndie anayeandaa mashtaka na kufikisha mahakamani.
sasa sijui na yeye ni polisi au lah?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna kifungu kinaitwa Nolle Prosequi,kinampa DPP maguvu ya kutoendelea na kesi na mahakama haina uwezo wa kumkatalia.Kifungu hicho hicho kinampa uwezo DPP kuifufua hiyo kesi akiona inafaaNini maana yake?
Ni katika mazingira gani anaruhusiwa kufanya hivyo?
Je, mahakama inaweza kumkatalia?
Karibuni niko tayari kujifunza.
hatari sanaKuna kifungu kinaitwa Nolle Prosequi,kinampa DPP maguvu ya kutoendelea na kesi na mahakama haina uwezo wa kumkatalia.Kifungu hicho hicho kinampa uwezo DPP kuifufua hiyo kesi akiona inafaa
DPP akiamka ana uwezo wa kuifuta kesi yoyote na hakuna mwenye ubavu wa kumuhoji hata Rais Jim