nini maana ya dunia tambala bovu msaada

appoh

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2013
Posts
5,262
Reaction score
2,184
ndugu wanajamvi kuna misemo ming nimekua nikiisikia mtaani toka utoto wangu mpaka utu uzima wangu lakini nilikua sijali kabisa sababu nimesoma nje ya nchi kwa kipind kirefu nili hic hayaniusu kabisa nani anajua maana ya dunia tambala bovu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…