Nini maana ya EP?

Nini maana ya EP?

[emoji1313][emoji1313][emoji1313][emoji1313]
Screenshot_20210615-131527_Google.jpg
 
Maana ya DJ ni "Disc Jockey" yaani msababisha mziki kwa kuchezesha kisahani (disc) cha santuli. sasa wanaotembea na milaptop et ni maDJ hamna kitu hapo!
 
Back
Top Bottom