Nini maana ya Flagship phone?

Note 9 inamika mingapi mpaka sasa.je thamani yake kwa sasa na umetumia mda mgani wakati hiyo oppo a93 imetoka 2020.sio mbaya .
Labda ungebadilishana na kitu kilichopo nyuma zaidi
Mkuu, flagship phone inaweza kupambana na hizo budget au midrange phones hata kwa miaka mitano na bado hazifui dafu.
 
Nnakumbuka captain flint alipokuwa pirate aliwatisha watu na bendera tuu
Watu walipoona ile bendera yenye alama iliyoashiria uwepo wa captain flint waliogopa meli yenyewe nadhani hiyo ndiyo tafsiri ya flagship

Nikiwa na maana kuwa kile kinachotangulizwa mbele kikiwa kinaakisi ubora na ufanisi wa kila kitu kilichopo kwenye muktadha huo
 

Sorry kuna simu hazina flagship
 
Sasa bouy mi 9pro ni flagship ya xiaomi ? Ya mwaka gani .So far ni simu nzur sana ila sio flagship
Kaangalie Simu zote walizotoa Xiaomi mwaka 2019 zenye high end Soc kwa kipindi hicho ambayo ilikuwa Sanapdragon 855. Zipo 5 tu. Halafu uniambie flagship ni zipi kati ya hizo?

 
Bwana asituzuge tumeijua xiaomi zamani bwana hio simu ilipotoka si kulikua na mi 10 au hajui hio ndio ilikua flagship ya mwaka jana bwana k series iko kundi ya upper midrange tu
Acha ushamba me nazungumzia mwaka 2019.

Mi 10 imetoka mwaka jana na ina SD865.

Naona unachanganya kati ya mi 10 na mi note 10.

Mi note 10 imetoka 2019 ina camera tu nzuri lakini the rest kila kitu ni midrange.
 
Acha ushamba me nazungumzia mwaka 2019.

Mi 10 imetoka mwaka jana na ina SD865.

Naona unachanganya kati ya mi 10 na mi note 10.

Mi note 10 imetoka 2019 ina camera tu nzuri lakini the rest kila kitu ni midrange.
Jaza ata ukurasa mzima ila nimekuambia hio k40 sijui mi 9t sio flagship bwana
 
A flagship phone is the latest and greatest from a brand. It's the last phone they released and it's often the phone that costs the most. Most brands and manufacturers release new and improved smartphone models every year, replacing last year's flagship phone.
 
Haya sasa wale wa education is better than money, msaidieni mwenzenu
 
Hapa mdau ulipigwa kwelikweli maana hata chipset mediatek dah! Tecno iliyochangamka. Ila ndo mwanzo wa kujifunz uskonde
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…