Nini maana ya hii taa na inasababishwa na nini? Naomba kujua namna ya kurekebisha

esc

Member
Joined
Jul 11, 2015
Posts
7
Reaction score
2
Nilikuwa naendesha gari yangu ghafla gari ikazima, nilijaribu kuwasha ikagoma ikaleta hii taa kwenye dashboard. Baadae ikawaka lakini hii taa bado ipo. Naombeni kujua nini shida hasa? Nimejaribu kucheki online inaonekana ni transimission, lakn najiuliza tran inawezaje kilusababisha gari izime ikiwa inatembea?

Gari ni BMW e46

 

Attachments

  • IMG_20200914_185610.jpg
    33.7 KB · Views: 3
  • IMG_20200914_185614.jpg
    31.6 KB · Views: 3

Hiyo alama inamaanisha kwamba kuna tatizo katika parking mechanism ya gearbox yako.

Kuna uwezekano mkubwa ile pin ya parking iliengage wakati gari yako ipo katika gear na ndio maana gari imezima na inakugomea kuwaka.
 
Mkuu hicho kisahani uliwahi kukifuta au unaishia speed 80?....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…