We' hujielewi wala hujiamini, mtu anamoyo mmoja anawezaje kupenda watu wawili, temana nae angalia mbele, unajidhalilisha sana kwa kumng'ang'ania mtu ambae unajua tayari anamtumwengine(cheating).. Unamfanya ajione so special.. Jikaze mwambie ukweli kuwa hupo tayari kuwa ktk mahusiano ya mtindo huo! Nakuonea huruma sana, pole sana.