jaman nawasalim kwanz habar z nyie ! nahtaji msaada wen ju y hili nna miak 25 nnampenz wangu lakn anampenz mwngne nje y mkoa nilijua hli baada ya kumchunguza sana nilpomuulz alinihakkshia n kwel na had sasa huyo bint naye amenigundua na amekuw akinitmia mesg z matuc bila kumjibu chakushangaza huyu mpenz wang nikimuulza anadai anatupenda sote hawez kuacha waswas wang ni kujakuachw kweny mataa imefkia wakat nataman kumuacha lakn nampenda pia nafkria je huyo nitakayekutana naye mwngne naye atakuwaje?hapohapo
Kifupi ni kwamba wewe hupendwi wala usijipe moyo kwa kusubiri huruma ya mola mdada,ukweli ni kwamba usisubiri kuachwa jitoe mapema maana kama angekuwa ana kupenda asingekuwa na mwingine! piga moyo konde na huanze upya maisha,utapata atakaye kupenda kweli.Hakuna mtu aye weza kuwapenda watu wawili kwa usawa,ni kwamba anashindwa kukwambia ukweli kuwa hakupendi!
IELEWE MITAA