Kuchamba kiswahili fasaha ni KUNAWA MAJI baada ya kutoka haja DOGO au KUBWA..ila wanavyolitumia wao hilo neno HASA AKINA DADA...ni tofauti na maana halisi...mtu akisema nimemchamba ana maanisha Kumweleza mtu MANENO mabaya tena asiyoyapenda...kuhusu TABIA ZAKE AU JAMBO FULANI...lakini hilo NENO hutumiwa na WANAWAKE tu...ukiona dume ZIMA linazungumzia kumchamba mtu...ujuwe ni MARINDA LESS...maneno km hayo mwanaume RIJALI hawezi kutamka...