GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,189
- 10,375
Tuanze na ID yako, ina jina la kizungu au la kisukuma?Ni jina lenye asili ya kiskoti. Wanadai ni mtu mwenye muonekano bomba. Wavuti ya johnthebapatist inadai kikristo Ina maanisha mtu mwenye ujasiri.
Lakini hayo yote ni kwa ajili ya wazungu.
Kwa karne hii, msukuma (kwa mfano) kupewa jina la kiskoti ni aibu kubwa!
Kwanini asipewe jina la kisukuma tu badala ya hiyo colonial tag?
Huwezi fananisha ID ya JF na jina halisi. Huku hata Masumbuko anajiita Vladimir Putin.Tuanze na ID yako, ina jina la kizungu au la kisukuma?
Usikariri ndugu, ID maana yake ni utambulisho wako kiujumla, sio jina la JFπ π πHuwezi fananisha ID ya JF na jina halisi. Huku hata Masumbuko anajiita Vladimir Putin.
We una tatizo la uelewa. Unashindwa kujadili hoja unaunda vioja.Usikariri ndugu, ID maana yake ni utambulisho wako kiujumla, sio jina la JFπ π π
Elimu ya Bongo bwanaππ
πππ
β πππYou can become ur words u can become ur name
I have already done google search sir! But, I believe JF members can supplement what I acquired from Google. The comments above prove me right!Go away from your comfort zone jombaa. The time, data and efforts you used to develop this question here at JF, you could use the same to search on Google or AI forums such as chatgpt and could have satisfactory answers.
Tuanze kwanza na wewe una uhakika na wewe ulipita kwenye moto kama dhahabu ndiyo ukang'aa si ndio? Kama jibu sio basi majina hayana maana yeyote zaidi ya kutugawaMajina yamebeba maana! Majina yanaweza kumfinyanga mtu akafanania na jina lake.
Kenneth ni jina la kiume.
Lina maana gani hasa katika mtazamo wa kiroho?
Kenneth β¦.. means king, handsome, or born of fire β¦.. haya ni majina ya ki skotishMajina yamebeba maana! Majina yanaweza kumfinyanga mtu akafanania na jina lake.
Kenneth ni jina la kiume.
Lina maana gani hasa katika mtazamo wa kiroho?