Nini Maana ya Kamishna katika Utumishi wa Umma?

Nini Maana ya Kamishna katika Utumishi wa Umma?

MAKULUGA

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2011
Posts
7,828
Reaction score
10,527
Katika Utumishi wa Umma,Kuna Watumiahi wanaitwa Kamishna...Kuna Kamishna wa Magereza, Uhamiaji, Kazi, Ustawi wa Jamii nk
Je kwa nini viongozi Hawa wanaitwa Makamishna?

Naomba kujua vigezo vinavyotumika kuwaita Makamishna?
 
Back
Top Bottom