M MAKULUGA JF-Expert Member Joined Jan 21, 2011 Posts 7,828 Reaction score 10,527 Feb 16, 2022 #1 Katika Utumishi wa Umma,Kuna Watumiahi wanaitwa Kamishna...Kuna Kamishna wa Magereza, Uhamiaji, Kazi, Ustawi wa Jamii nk Je kwa nini viongozi Hawa wanaitwa Makamishna? Naomba kujua vigezo vinavyotumika kuwaita Makamishna?
Katika Utumishi wa Umma,Kuna Watumiahi wanaitwa Kamishna...Kuna Kamishna wa Magereza, Uhamiaji, Kazi, Ustawi wa Jamii nk Je kwa nini viongozi Hawa wanaitwa Makamishna? Naomba kujua vigezo vinavyotumika kuwaita Makamishna?