Nini maana ya kifo cha Mende?

Ndiyo nilikuwa sijui kabisa maana yake na nilikuwa nasikia tu kifo cha mende!!
 
Huyu Zinduna huyu..mara ya mwisho kulazwa "kifo che mende' ilikuwa lini?
 
Last edited by a moderator:
Kifo cha mende ndo style moja ya kistaarabu na hata watoto wenye akili, heshima na adabu hupatkana kwa style hiyo.
Wale wajinga, wakorofi, watumia madawa ya kulevya na sifa zote za ajabu kama hizo hupatikana style za ajabu kama vile Chuma mboga, mbuzi kagoma kwenda, jipimie(Dume chini, jike juu)!!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…