Nini maana ya kifupisho cha 'ndc' mbele ya jina la Nenelwa J. Mwihambi Katibu wa Bunge

Nini maana ya kifupisho cha 'ndc' mbele ya jina la Nenelwa J. Mwihambi Katibu wa Bunge

JPM605

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2012
Posts
216
Reaction score
122
Wakuu nawasilimuni,

Nimebaini kwamba baada ya jina la Katibu wa Bunge wa sasa Mh. Nenelwa J. Mwihambi kumekuwa na kifupisho cha 'ndc'. Napenda kufahamu nini maana ya kifupisho hicho?

Shukrani!
 
Wote waliosoma chuo cha ulinzi cha NDC, national defensive college huwa wanaanza na hiyo initial, kama vile ilivyo CPA, N.K
 
Wakuu nawasilimuni,

Nimebaini kwamba baada ya jina la Katibu wa Bunge wa sasa Mh. Nenelwa J. Mwihambi kumekuwa na kifupisho cha 'ndc'. Napenda kufahamu nini maana ya kifupisho hicho?

Shukrani!
Amesoma na kuhitimu chuo cha Ulinzi cha taifa - National Defence College (NDC).
 
Kazi kweli kweli....

Na mimi nianze kujiita MtamaMchungu ASC - Amazon Secretarial College
 
Back
Top Bottom