Nini maana ya kimsemo "Pambana na hali yako " ?

Nini maana ya kimsemo "Pambana na hali yako " ?

Hivi punde

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2017
Posts
2,554
Reaction score
8,587
Salam.

Pambana na hali yako ...Kapambane na hali yako ...Kwani si upambane tu na hali yako ?! ...Umeshindwa kupambana na hali yako ?...

Nini maana ya ukapambane na hali yako ?

Ukakwibe ? Short cuts ? Fanya lolote lile ? Ng'ang'ana itakavyokuwa ndo hivyo hivyo ?!!

Naomba kueleweshwa hapa
 
Kufanya kitu kwa kadri ya uwezo wako,mfano mtu ana mguu mmoja hivyo hawezi kutembea kama mtu mwenye miguu miwili,hivyo itamlazimu kutumia gongo upande mmoja,lakini atatembea na atafika kule alipofika mwenye miguu miwili,huo ni mfano tu!! Ni vitu vinavyofanana na hivyo.
 
Salam.

Pambana na hali yako ...Kapambane na hali yako ...Kwani si upambane tu na hali yako ?! ...Umeshindwa kupambana na hali yako ?...

Nini maana ya ukapambane na hali yako ?

Ukakwibe ? Short cuts ? Fanya lolote lile ? Ng'ang'ana itakavyokuwa ndo hivyo hivyo ?!!

Naomba kueleweshwa hapa

Lilianziashwa na watu wa Arusha
 
Back
Top Bottom