Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,478
- 3,659
mmh mi sjakuelewa sjui. ni u ukilaza wangu tu..ni kwamba aupend kubembeleza bali wapenda kupenda?Nimefikiria nikahitimisha kuwa hakuna sababu ya kumbembeleza mtu (mwanamke/me) kama hujamkosea. Kuna sababu nyingine ya kubembeleza zaidi ya hiyo? Binafsi siamini sana katika kubembeleza bali kujali na kupenda. Mtu anayebembelezwa sana huyo hukosewa sana. Hayo ni mawazo yangu. Vipi yako.
Sababu ya kubembeleza ni ipi?
Nimefikiria nikahitimisha kuwa hakuna sababu ya kumbembeleza mtu (mwanamke/me) kama hujamkosea. Kuna sababu nyingine ya kubembeleza zaidi ya hiyo? Binafsi siamini sana katika kubembeleza bali kujali na kupenda. Mtu anayebembelezwa sana huyo hukosewa sana. Hayo ni mawazo yangu. Vipi yako.
We wjua kubembeleza kweli?cz unampenda jaman!!!
one thing is for sure,if you want a lot from women you must know how to kubembeleza...hapo ndio utafaidi,....labda kwa vile tunatawaliwa na emotions zaidi...
kumbembeleza mpenzi si hadi umkosee?