Katika taarifa ya habari Dira ya dunia BBC jioni ya tarehe 15/11/2021 mwadishi wa habari kutoka Kenya amesema watu kadha WAMEHEPA kutoka gereza fulani,Bakita mtusaidie
Kwa mtazamo wangu, neno la asili lilikuwa hepa (sio kawaida katika Kiswahili mzizi wa kitenzi unaoanza na irabu), ila muda ulivyoenda matamshi "epa" yalikaa vilevile.